Latest Posts
Elimu ni ufumbuzi wa changamoto za uongozi, maendeleo
Tunaposikia kauli za viongozi kuwa uongozi wa nchi ni changamoto kubwa sana, siyo rahisi kwa wengi wetu kuelewa. Haihitaji kufanya utafiti wa kina kukubali ukweli huo. Uongozi ni mzigo mkubwa, alisema Mwalimu Julius Nyerere. Akifafanua, alisema rais anapokuwa pale Ikulu…
Faru John amtesa Prof. Maghembe
Wakati Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, akiwatuhumu baadhi ya wadau wa sekta ya utalii kwamba wamejipanga kuhakikisha wanamng’oa katika wadhifa wake kupitia sakata la Faru John, wadau wamemtaka asiwe mfamaji. Akizungumza na JAMHURI hivi karibuni, Prof. Maghembe…
Msaka majangili ateswa
Siku 12 baada ya kumwandikia barua nzito, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Peter Mtani, amekamatwa na kuteswa kwa siku saba mfululizo kabla ya kuachiwa wiki iliyopita bila masharti. Mtani amekuwa afisa wanyamapori daraja la pili,…
NHC yakaidi amri ya Mahakama
Uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unatuhumiwa kukaidi amri ya Mahakama ya Rufani Tanzania, iliyotolewa miaka 13, iliyopita ikiwaamuru kumrudisha katika nyumba au kumlipa afisa mstaafu wa Serikali ya China, Li Jianglan, baada ya kumwondoa bila kufuata taratibu….
Moto wawaka Tunduma
Serikali imewasha moto wa aina yake katika Mji wa Tunduma baada ya kuwapa wiki moja wananchi waliojenga katika eneo la mpaka (no man’s land) kuhamisha mali na kuvunja nyumba zao kwa hiyari, JAMHURI linathibitisha. Uamuzi wa Serikali umekuja wiki moja…
Rais Magufuli usimwamini kupita kiasi Dk. Mpango
Leo ni wiki ya kwanza ya mwaka 2017. Wiki iliyopita, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa mwenendo wa hali ya uchumi nchini, akisema Taifa halina mdororo wa uchumi. Ametoa takwimu kuwa kwa sasa uchumi unakua kwa asilimia…