JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Vigogo Sumbawanga wakusanya vitabu ‘feki’

Vigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaodaiwa kutengeneza vitabu bandia vya kukusanyia mapato ya ushuru na leseni za  uvuvi wa samaki katika ziwa Rukwa wameanza kuviondoa katika mzunguko. Wiki iliyopita gazeti la JAMHURI liliripoti habari ya uchunguzi…

Cheche za Lowassa moto Karagwe

Wanasiasa kadhaa waliokuwa makada na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama kadhaa vya upinzani wilayani Karagwe na Kyerwa wamejisalimisha na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumfuata mwanasiasa mahiri nchini, Edward Lowassa. Dhana kubwa ya wanasiasa hao…

Prof. Lipumba aseme ukweli wote

Leo bado siku 75 kabla ya Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25. Muda unaweza kuonekana mwingi, lakini ni mchache. Matukio yanayoendelea katika ulingo wa siasa, uvumi na taarifa zinazosafiri kama moto wa nyasi kavu, yanatupasa kuwa makini na kuchambua pumba…

Wagonjwa wahaha zahanati kufungwa

Baadhi ya wagonjwa wanahaha mjini hapa baada ya Serikali kupitia Idara ya Afya Mkoa wa Geita, kufunga Kituo cha Afya cha Msufini kilichopo Mtaa wa Msalala, Kata ya Kalangalala wilayani Geita. Uongozi wa kituo hicho umeagizwa kuomba upya usajili wa…

Umamluki katika siasa

Neno mamluki limekuwa linatumika zaidi kwa askari wa kukodishwa hapa ulimwenguni. Wakati Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasherehekea mwaka wake wa tano tangu kuasisiwa kwake  Septemba 1, 1969, Amiri Jeshi Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, alitamka neno “MERCENARY”…

UTAFITI: Vyuo vikuu kuna ‘mateja’

Matokeo ya utafiti uliofanywa na Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCC), umebaini kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hasa vya Dodoma pamoja na baadhi ya askari polisi wa mkoa huo, wamekuwa watumiaji wakubwa wa dawa hizo. Mtaalamu kutoka DCC…