JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mgogoro wa Israel na Palestina -4

Wiki iliyopita, makala hii iliishia kwa kuonesha kuwa Wazayuni waliitumia vyema bahati ya mtende – juu ya kufunguliwa kwa milango ya Wayahudi kuhamia Palestina – na ndani ya robo karne idadi ya Wayahudi iliongezeka mara kumi zaidi. Je, unafahamu nini…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 30

SMZ imeibiwa mabilioni   576. Benki Kuu yaTanzania ibuni mbinu za kupunguza matumizi ya fedha taslim katika uchumi wetu. Sheria zote muhimu zifanyiwe marekebisho ili kuwabana wale wote wanaolimbikiza fedha majumbani mwao.   577. Kampuni au biashara inaposajiliwa, wanaohusika na…

Hotuba ya Rais Magufuli mkoani Simiyu

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame, Waheshimiwa Waziri Hajji kutoka Zanzibar, Mheshimiwa Naibu Waziri Luhaga Mpina, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Simiyu, Waheshimiwa wabunge wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo…

Kafulila na ndoto ya mageuzi

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), aliyerejea chama chake cha zamani – Chadema – amesema kuwa moja ya mambo anayofikiria ni kugombea tena ubunge. Akizungumza na JAMHURI, Kafulila amesema kuwa ubunge ilikuwa ni moja ya ngazi ya kumuinua…

Ndugu Rais tuutafute ufalme wa mbingu kwanza!

Ndugu Rais, tuutafute kwanza ufalme wa mbingu na haya mengine yote tutayapata kwa ziada! Ufalme wa Mbingu hautafutwi kwa kubadilisha nyumba za ibada au madhehebu, leo kanisa hili na kesho kanisa lile kama majumba ya sinema kuona lipi leo linaonesha…

Mkuu wa Wilaya, OSHA wajitosa kemikali Geita

Siku chache baada ya JAMHURI kuripoti tukio la watu wawili kuathiriwa na kinachodhaniwa kemikali mkoani Geita, hali za waathiriwa wa kemikali hizo wameanza kubabuka ngozi. Wananchi hao wakazi wa kitongoji cha Kiomboi, kijiji cha Iririka kata ya Nyarugusu mkoani Geita,…