Latest Posts
Polisi na hofu ya anguko CCM
Wiki iliyopita, kwa ufupi sana nilieleza kwamba mtaji mkubwa wa ushindi wa kishindo kwa vyama tawala katika baadhi ya mataifa yasiyotaka demokrasia ya kweli ni rushwa, ujinga na umaskini wa wananchi. Nilieleza pia mtaji mwingine wa watawala hao waliojihakikishia kwamba…
Ndoto ya barabara ya Kusini yakamilika
Tangu zamani umekuwapo usemi kuwa: “Hayawi, hayawi, yamekuwa!” Ni usemi maarufu unaonesha msisimko wa watu pale tukio au mgeni waliyemsubiri kwa muda mrefu hatimaye anawasili. Mara tu anapowasili, wangojeaji wale kwa pamoja wanafurahi, wanashukuru na ndipo usemi huo wa “hayawi…
CCM wa kweli wakiri hili
Wale wa rika langu, ama wamezaliwa, au wamelelewa na sasa wanaelekea kuzeeka ndani ya malezi yenye misingi iliyojengwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Watanzania wengi waliozaliwa kabla ya mwaka 1992 wanaijua CCM, na kwa kweli hawana namna ya kukwepa kuizungumza,…
Yah: Uhuru wa kuamua kutokana na maslahi au matakwa binafsi
Kweli nimeamini kama hawa Watanzania wakipata ufunuo wa kutumia demokrasia yao ya kutoa uamuzi, basi wanaitumia kama ipasavyo. Leo wanaweza wakaamua kitu kutokana na mazingira na kesho wakabadilika kutokana na mazingira shirikishi, hii ndiyo demokrasia iliyopo sasa bila kujali kama…
‘Tuchagulieni kiongozi safi’
Wiki iliyopita nilizungumzia juu ya maana na sababu za kutaka mabadiliko. Hivi sasa Watanzania na hasa vijana wanataka sana mabadiliko na huku wakinukuu sehemu tu ya hotuba ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyoitoa kwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu…
Tujiandae kujenga jela mpya
Nimewahi kuandika kwenye safu hii kuhusu hitilafu ambazo nimeziona kwenye Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015. Zipo taarifa kuwa sheria hii sasa itaanza kutumika Septemba mosi, mwaka huu. Kama unayo hofu niliyonayo mimi utakubaliana nami kuwa wapo watu wengi wataathirika…