Latest Posts
Yaongelewe masuala, wasiongelewe watu
Mimi nimefarijika sana na ninamshukuru Mungu kuona Makala zangu zinavyosomwa na watu na zinavyotoa changamoto miongoni mwa wasomaji. Nimekuwa nikiandika makala katika magazeti mbalimbali na kwa hivi karibuni katika gazeti la JAMHURI. Kutokana na makala hizo nimekuwa nikipokea meseji nyingi…
Bomu la ajira kwa vijana linaitesa CCM
Miaka mitano iliyopita Rais wangu, Dk. Jakaya Kikwete, wakati akijinadi na kuomba kura kutoka kwa wapigakura, aliahidi mambo mengi kwa Watanzania. Kwa siku ya leo nitagusa ahadi moja tu ambayo ni changamoto kubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi, na…
JK ukumbukwe kwa lipi?
Kila kiongozi katika nchi yoyote ile duniani – iwe inafuata utawala wa kidemokrasia au wa mabavu – anapoondoka madarakani anakuwa na historia ya kukumbukwa kwa vyovyote vile kwa mabaya au mema aliyowatendea watu wake. Hapa si kwa viongozi wakuu wa…
Ni mabadiliko kweli?
Watanzania hivi sasa tumo katika mtihani mgumu wa kujibu swali moja lenye vipengele vingi kuhusu mustakabali wa kuboresha maisha yetu na kudumisha Muungano wetu kwa upendo na amani. Swali liliopo mbele yetu ni, Je, tunahitaji mabadiliko au kuking’oa tu Chama…
Tujiandae kujenga jela mpya
Nimewahi kuandika kwenye safu hii kuhusu hitilafu ambazo nimeziona kwenye Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015. Zipo taarifa kuwa sheria hii sasa itaanza kutumika Septemba mosi, mwaka huu. Kama unayo hofu niliyonayo mimi utakubaliana nami kuwa wapo watu wengi wataathirika…
Klabu ipi Ligi ya England maarufu Afrika?
Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndiyo kila kitu, ndiyo eneo lao la maabadi. Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu bilioni moja kote duniani na watu milioni 260 kati ya hao…