Latest Posts
RIVACU wamlilia Rais Magufuli
Hatima ya Chama cha Ushirika cha Wakulima wa eneo la Bonde la Ufa katika mikoa ya Manyara na Arusha (RIVACU) sasa iko mikononi mwa Rais John Magufuli, baada ya Baraza la Ardhi la Mkoa wa Manyara kuirudisha katika kiwanja cha…
Agundua teknolojia ya kusafisha maji
Je, unajua kwamba Tanzania sasa kuna teknolojia ya kubadilisha majitaka na kuwa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu? Pengine utabaki umeduwaa, ila jambo hilo sasa linawezekana kutokana na mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandera, kilichoko jijini Arusha,…
Milioni 950/- zawarusha CCM, Rahaco
Milioni 950/- zilizotakiwa kulipwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama fidia ya Kiwanja namba 228, Kitalu K, Mivinjeni Kurasini jijini Dar es Salaam, zimezuiwa kwa takribani mwaka mmoja katika Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke kutokana na mgogoro kati ya…
Wenye masikio wamemsikia Trump
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani. Huyu ni Rais wa taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi kuliko taifa lolote katika sayari hii. Ushindi wa Trump haukutarajiwa na wengi. Maneno yake kabla na wakati wa kampeni…
Meneja MPRU awa Mungu mtu
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu, amelalamikiwa na watumishi wa taasisi hiyo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma, ubabe na ubaguzi kwa watumishi, mambo yanayochangia sekta ya utalii kudorora. Dk….
Trump ameapishwa, Jammeh Ehe!
Nchini Marekani, mwezi Novemba, 2016 walifanya uchaguzi wa Rais. Aliyekuwa mgombewa wa Chama cha Republican, Donald Trump alishinda katika mazingira yaliyoshangaza wengi. Alimshinda aliyekuwa mgombea wa Democrat, Hillary Clinton. Ingawa Clinton alishindwa katika kura za majimbo, aliibuka mshindi katika kura…