JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Umaskini umekuwa mtaji wa ‘manabii wa uongo’

Kwanza, naomba nitangaze maslahi yangu kwenye makala hii. Nayo ni kwamba naamini Mungu yupo. Sijawahi kutilia shaka uwepo wa Muumba kwa sababu ni vigumu mno kuamini kuwa haya yote tunayoyashuhudia, kuanzia kwenye uumbaji, ni mambo yaliyojitokeza yenyewe tu! Haiwezekani. Mungu…

Yah: Awamu ya Trump imeanza, wataisoma namba kama sisi

Leo hii ukimuuliza Mtanzania yeyote atakwambia anasoma namba ambayo haijui, dhana ya kusoma namba imekuja kipindi ambacho Rais wa awamu ya tano Tanzania alipoingia madarakani na kauli mbiu ya hapa kazi tu. Leo hii nchini Marekani kuna waka moto, kuna…

Umuhimu wa misingi mitatu ya udugu

“Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja”  Hii ni ahadi ya kwanza ya mwana- TANU, kati ya kumi ambazo alizitii na kuzitimiza enzi za uanachama wake. Ukweli ahadi tisa zote zimebeba neno zuri na tamu katika kulitamka, nalo…

Tanzania na ndoto za Olympic 2020

Wadau wa mchezo wa soka wameishauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Tanzania (TFF) juu ya kufanya maboresho yatakayo saidia timu ya taifa kupata nafasi ya kushiriki katika mashindano kadha ya kimataifa ikiwemo Olympic inayotarajia kufanyika nchini Japan mwaka 2020….

Bilionea amjaribu Magufuli

Tajiri mwenye ukwasi wa kutisha anayeishi jijini Dar es Salaam, anaonekana kuwa wa kwanza kumjaribu Rais John Pombe Magufuli, aliyesema hajaribiwi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Hali hii imetokana na tajiri huyo kuamua kulitumia Jeshi la Polisi kutekeleza matakwa yake, na…

Ufisadi watikisa katika ngozi

Azma ya Rais John Pombe Magufuli kuelekea nchi ya viwanda huenda isitimie kutokana na genge ya walanguzi kutoka nje ya nchi kuikosesha Serikali mapato zaidi ya bilioni 25, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. JAMHURI imebaini ufisadi wa kutisha unaodidimiza sekata ya…