Latest Posts
Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?
Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na…
Vitimbwi vya Uchaguzi Mkuu 2015
Kipenga cha uchaguzi kimepulizwa tangu Agosti 21, 2015 na refa ni Tume ya taifa Uchaguzi (NEC). Kuanzia tarehe ile wachezaji wote ambao ni vyama vya siasa wamepaswa kucheza mchezo huu yaani kuandaa sera zao kwa wananchi kulingana na sheria ya…
Tukifanya makosa, ndoto za mabadiliko zitatoweka!
Katika kipindi kifupi tu tumeshuhudia kwa kiasi kukubwa Watanzania wakiimba wimbo wa mabadiliko. Wimbo huu unaimbwa na wanasiasa. Kinachonipa ukakasi kutokana na neno hilo ‘mabadiliko’ kutawala katika vijiwe, mikutano ya hadhara na hata katika majukwaa makubwa yanayotumika kusaka kura kwa…
Yah: Dakika zinayoyoma, sera zinauzika, kazi kwa wapambe
Kama ingelikuwa ni mashindano ya mpira, basi tungesema kipindi cha mapumziko kimeshapita na kipindi cha pili kinaelekea kwisha, pambano halihitaji kupigiana penalti mshindi lazima apatikane kwa matokeo yoyote. Wachezaji wote wanatumia nguvu zao zote na kuangalia makosa madogo ya wachezaji…
Hatuheshimu ndevu, hata kidevu!
“Huyu ni mpiganaji kama sisi. Lakini bunduki yake ni tofauti na zetu. Bunduki yetu inaweza kuua askari mmoja kwa wakati mmoja, na mlio wake hausikiki hata Mueda. Lakini bunduki yake (kalamu) inaua maadui wa uhuru kwa mamilioni duniani kote na…
Kushitaki askari wabambika kesi
Imekuwa ni kawaida watu kubambikwa kesi hapa nchini. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo kifedha dhidi ya wasio na fedha pia kati ya maofisa wa polisi na raia. Mtu kwa sababu ana pesa au cheo, anaweza…