Latest Posts
‘Siri ya utajiri wa Dk. Kigwangalla’
Nimeanzisha utaratibu wa kuandika ujumbe wenye kuhamasisha mabadiliko ya kifikra kwa vijana wa nchi yetu. Sababu ikiwa ni imani yangu kubwa kwamba hizi ni zama zetu kuchukua majukumu ya kuongoza mageuzi kwenye kila eneo la maisha ya jamii yetu. Kwenye…
Kuwafukuza, kuwashusha vyeo walimu ni kuwaonea
Ualimu ni kada muhimu kweli kweli kwa maendeleo ya jamii yoyote. Taifa linaloipuuza kada hii halina mwisho mwema. Matokeo ya kidato cha nne nchini yaliyotolewa wiki iliyopita, yamepokewa kwa mitazamo tofauti. Shule binafsi zimeendelea kung’ara dhidi ya shule za umma….
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza
Chema chajiuza kibaya chajitembeza ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili. Ni methali iliyojaa hekima na ushawishi mkubwa wa kupambanua kitu au jambo zuri na bora, au baya na dhaifu. Waswahili hutumia methali hii katika kupima mwenendo wa binadamu…
Yah: Matamko na athari katika jamii ni vita ya maneno
Kuna raha ya matamko unaposikia na hasa kama tamko limetoka kwa anayestahili kutoa tamko ili lifanyiwe kazi, raha ya tamko ni pale linapotekelezeka pasi na kuingiza ujanja wa mjini wa kucheza na maneno. Leo tunashuhudia na kusikia matamko kutoka kwa…
Riadha yapata msisimko
Baada ya mchezo wa riadha kufanya vibaya kwa muda mrefu na kuanza kupoteza msisimko miongoni mwa Watanzania, sasa unaonekana kurudisha msisimko baada ya mafanikio kutoka kwa mwanariadha Felix Simbu. Ushindi wa Simbu katika mashindano ya mbio za Standard Chartered Mumbai…
Gama kitanzini
Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama atafikishwa mahakamani wakati wowote kutokana na ufisadi, JAMHURI linathibitisha. Uchunguzi uliofanywa na gazeti la JAMHURI umebaini kuwa Gama, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro atapandishwa kizimbani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya…