Latest Posts
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Naandika makala hii nikiwa nchi jirani ya Uganda katika mji wa Masaka. Pamoja na kwamba niko nje ya nchi, nafuatilia kwa karibu kinachoendelea hapo nchini. Kwanza kabisa niseme uchaguzi wa mwaka huu ni tofauti na uchaguzi wa miaka yote iliyopita….
Wajibu wa vyombo vya habari katika uchaguzi
Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili. Ili kuviwezesha vyombo hivyo vya habari kufanya kazi yake ipasavyo hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika…
Safari ya Dk. Magufuli Ikulu
Ufuatao ni uchambuzi wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), unaonyambua majukumu atakayofanya Dk. John Magufuli endapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi hapo Oktoba 15, mwaka huu. Inaeleza wa kifupi malengo ya CCM katika kipindi cha miaka mitano ijayo…
Athari za Shirikisho la Afrika Mashariki (2)
Uchambuzi wa Mkali, wiki iliyopita ulikomea akisema kwamba Uhuru wa wananchi kuishi popote kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC) unatakiwa uwe, kwa lugha ya kiingereza wanasema, “reciprocal”, kwa maana ya raia kutoka nchi wanachama wanakuwa huru kuhamia Tanzania, kwa sababu…
Tafiti zetu, wasomi wetu
Tafiti zilizofanywa na taasisi mbalimbali siku chache zilizopita kuhusu kukubalika kwa wagombea wa nafasi ya Rais zinaonesha Tanzania imejaa baadhi ya wasomi “wapuuzi”. Hii ni kutokana na kuweweseka kwa chama kinachotakiwa kuondoka madarakani na kupisha fikra mpya kutawala na kuleta…
Nionavyo Tanzania baada ya uchaguzi
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani zenye utaratibu wa kufanya uchaguzi kila baada ya kipindi cha miaka mitano ya buongozi. Kuna na demokrasia iliyozoeleka. Ni ya kupokezana vijiti. Kutokana na utaratibu huo uliowekwa na waasisi wa taifa hili, wananchi ambao…