Latest Posts
Nyakati tatu za dua kujibiwa (2)
Wiki iliyopita, katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilielezea kilio cha muda mrefu cha Watanzania kuhusu hali ya jamii kimaisha siyo nzuri na sheria za nchi hazifuatwi, kama ilivyoandikwa na gazeti moja nchini, mwaka 2013. Nilinukuu aya ya kwanza…
Kupata hati unaponunua ardhi ya kijiji kwa uwekezaji
K awaida hatimiliki (granted right of occupancy) hazitolewi kwa ardhi za vijijini. Ardhi za mijini ndizo zilizo na hadhi ya kupata hatimiliki. Lakini wapo watu ambao wamechukua maeneo ya vijijni kwa ajili ya uwekezaji. Wapo waliochukua ardhi kama wachimbaji…
Nahisi demokrasia yetu inahitaji fasili mpya (1)
Demokrasia inatafsiriwa kuwa: mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Tafsiri haina tatizo, lakini yapo mambo yanavyoweza kutokea ndani ya mfumo huo ambayo yanaweza kusababisha hitilafu kubwa. Kwa utaratibu wetu, kila baada ya miaka mitano vyama…
Yanga mguu sawa
Huku ikiendelea na harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’, yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani, Jijini, inaendelea na mikakati ya kushinda mechi yake na Zesco,…
Ridhiwani achunguzwa
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, anachunguzwa na vyombo vya dola kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, JAMHURI linathibitisha. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI na kuthibishwa na mamlaka mbalimbali, jina la mbunge huyo ambaye ni mtoto…
Ajira kikwazo cha uchumi
Ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu ni miongoni mwa sababu zinazochangia uchumi wa nchi kuporomoka, huku vitendo vya uhalifu vikiongezeka katika jamii. Akizungumza na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Humphrey Moshi,…