JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ni hatari kuua biashara

Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania –  biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa.  Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…

Ni hatari kuua biashara

Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania –  biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa.  Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…

Makala: Tunamaliza mgogoro Mbarali

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, amesikiliza kilio cha wananchi na kuanzisha mchakato kufuta Tangazo la Serikali Na. 28 la mwaka 2007 lililoweka mpaka mpya kati ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha iliyopo chini ya Mamlaka ya Hifadhi za…

Mtaji sekta ya kilimo kikwazo cha uchumi

Serikali imetakiwa kuangalia kwa mapana sekta ya kilimo pamoja na kukubali kufanyia kazi kwa vitendo ushauri unaotolewa na wataalamu wa kilimo na uchumi kwa ajili ya kufanya maboresho katika sekta hiyo. Kutokana umuhimu wa kilimo katika kufanikisha Tanzania ya Viwanda….

Haya matukio yanaashiria nini? (2)

…Hivyo hatua ya kwanza kutekeleza mfumo mpya wa utawala kutoka ule wa ukoloni tuliorithi mwaka 1961, na ambao umetumika mpaka wakati ule mwaka 1971, ilikuwa kuteua viongozi wakuu wa kisiasa kwa mikoa na wilaya.    Hawa waliitwa Wakuu wa Mikoa…

Yah: Utafiti wangu katika mambo madogo madogo ya uswahili

Kuna watu wanaona kama maisha yamekuwa magumu kupitiliza, mimi nawaunga mkono kwamba maisha ya sasa ni shughuli pevu kwelikweli kutokana na ukweli wa mabadiliko ya sera. Tulianza kwa kushangilia hotuba mbalimbali za viongozi na matamko ambayo baadhi yetu hatukuelewa kwamba…