Latest Posts
Wagombea wamesahau uzito wa mama, mtoto
Tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wachanga Tanzania limekuwa likisababisha majonzi makubwa kwa jamii, ongezeko la watoto wa mitaani na hata kupungua kwa nguvu kazi ya Taifa. Ili Taifa changa kama Tanzania liweze kupiga hatua za haraka kimaendeleo, halina…
Magufuli kumuiga Mutharika?
Kampeni za mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli, zinazoendelea kwa sasa zinaonesha kitu kimoja ambacho ni kama hakijatamkwa bayana. Nadhani hakijatamkwa kutokana na kuhofia kukwazwa katika hatua hizi za awali. Sababu pamoja na chama tawala, kuamini…
Dhana ya mabadiliko
Siku hizi kunasikika neno mabadiliko. Kila upande watu wanalilia mabadiliko, kila kukicha kunasikika neno mabadiliko. Wazee tumeanza kujiuliza kwani neno mabadiliko limeletwa na chama cha siasa, au ni kilio cha wananchi wote tangu zamani? Kwanini limeibuka katika uchaguzi huu? Kwa…
Tuwe tayari kuyakubali mabadiliko
Kadiri Uchaguzi Mkuu unavyokaribia, ndivyo joto lake linavyozidi kupanda miongoni mwa wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Ni kwa sababu hiyo, wagombea wakuu wa urais, Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha Umoja wa…
Nauli mpya daladala zawatesa wakazi Dar
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohamed Mpinga, amesema ni uonevu mkubwa kumtoza mtu nauli kubwa tofauti na ile iliyoelekezwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA). Kamanda Mpinga amewataka wananchi kuwa na…
Utaratibu wa kisheria unaponunua ardhi ya kijiji
Tulipoandika namna bora na taratibu maalum za kufuata unapotaka kununua ardhi, tulisema pia kuwa taratibu za ununuzi wa ardhi huwa zinatofautiana kutegemeana na mazingira ya kila ardhi. Tukasema unaponunua ardhi kwa msimamizi wa mirathi ni tofauti na unaponunua kwa mmiliki…