JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tabia ya utu ya Mwalimu Nyerere

Tunaingia mwaka wa 16 bila ya kuwa na Mwalimu Nyerere. Oktoba, 14; Jumatano, 2015 siyo muda mfupi, lakini nchi hii bado inamkumbuka sana Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu, roho ya mzee wetu ipumzike kwa…

Mzee Abdallah: Sherehe za kwanza CCM zilikuwa chungu kwa Nyerere

Wakati Taifa likifikisha miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, watu mbalimbali wanaendelea kumkumbuka Rais huyo wa kwanza na muasisi wa Taifa letu, kulingana na kila mmoja alivyomjua. Lakini mengi ya yanayotajwa kwa Nyerere ni…

NEC, Polisi, CCM hawaaminiki

Katika makala zangu zilizopita, nilieleza kwa kina jinsi vyama vinavyokaa madaraka kwa muda mrefu katika nchi za Kiafrika, vilivyojizatiti kuhakikisha kwa gharama yoyote ile vinaendelea kuongoza hata kwa njia zisizokuwa za kidemokrasia.  Nilitaja mitaji mikubwa ya vyama hivyo vikongwe vinavyojihakikishia…

Kwaheri Mtikila, kwaheri mpiganaji

Oktoba 4, mwaka huu, saa mbili asubuhi nikiwa nyumbani nilipigiwa simu. Nilipopokea simu ile iliyonifahamisha kuhusu kifo cha Mchungaji Mtikila, nilidhani kuwa ni utani kutoka na mtoa taarifa na jinsi alivyowasilisha msiba huo.  Kutokana na jinsi tulivyozeana na uwasilishwaji wake…

Nilichekwa kwa kumnyenyekea Mwalimu Julius Nyerere

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuishi karibu na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nashukuru kwa sababu Watanzania wengi, na walimwengu kwa jumla waliitamani fursa hiyo, lakini hawakuipata moja kwa moja isipokuwa kupitia sauti na pengine maandishi yake. Mwalimu…

Yah: Kukubali matokeo

Kuna msomaji wangu mmoja wa safu hii wiki jana alinipigia simu na kunisimulia hadithi moja nzuri, alianza kwa kujinasibu kuwa umri wake hauna tofauti sana na wangu japokuwa hakusema ana miaka mingapi. Anasema zamani kabla ya kuanza kushuhudia soka la…