Latest Posts
Majibu kwa wanaomsimanga Magufuli
Kwanza nakushuruku Mhariri kwa kuipa nafasi makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho: “Ndani ya Dk. Magufuli, namuona Mwalimu Nyerere”, iliyochapishwa katika toleo namba 211 la Gazeti la JAMHURI. Nimepata wasomaji wengi sana walionipigia simu na wengine walioniletea ujumbe…
Yah: Kwako Rais mpya
Nianze kwa kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa wa Mchungaji Christopher Mtikila. Mchungaji Mtikila alikuwa mtu wa jirani sana kwangu na nimezungumza naye mara nyingi sana, maono yake ni dhahiri alikuwa anajua siku moja yatatimia akiwa hajaifungia macho dunia. Lakini…
Kila la kheri Watanzania
Jumapili hii, Watanzania tupatao milioni 23.7 tunatarajiwa kumiminika vituoni kwa lengo moja tu la kupiga kura kuchagua viongozi bora, watakao tuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Baada ya viongozi waliopo sasa kumaliza muda wao wa uongozi wa miaka mitano…
Chadema imewanyimaje Watanzania uchaguzi?
Katika gazeti moja la kila wiki, toleo la wiki iliyopita, mwandishi mmoja mahiri, Lula wa Ndali Mwananzela, ambaye huwa namchukulia kama mtu mwenye maono ya mbali, kaamua kujichanganya na kuniondolea kile nilichokuwa nacho kwa muda mrefu kuhusu mtazamo wake. Kafanya…
Hatuwezi kushinda vita dhidi ya ujangili kwa operesheni
Vita dhidi ya ujangili ni kama mapambano mengine ya binadamu katika kujihakikishia usalama. Tofauti tu ni kwamba katika vita dhidi ya ujangili wanaolindwa ni wanyama na makazi yao, badala ya binadamu na mali zake. Vivyo hivyo, kama ambavyo mtu hawezi…
Dk. Dau: Tanzania itacheza Kombe la Dunia mwaka 2026
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linajenga Kituo cha Michezo katika eneo la Kigamboni, Dar es Salaam; huku likisema lengo kuu ni kuhakikisha Tanzania inashiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani…