Latest Posts
Mtoto ni malezi, tutoe malezi bora
Mwanafalsafa William Arthur Ward anasema, “Shukrani inaweza kubadili siku za kawaida kuwa siku za shukrani, kubadili kazi za kila siku kuwa furaha, na kubadili fursa za kawaida kuwa baraka”. Kwa msingi huo, nawashukuru wasomaji wangu wote wa makala ya wiki…
Kujenga Tanzania: Nini kifanyike? (2)
Sehemu ya kwanza ya makala hii, mwandishi alitihimisha kwa kueleza mambo manne yaliyoamuriwa kutokana na Kamati iliyoundwa kuhusu mfumo wa elimu nchini. Moja ya yaliyokubaliwa ni kuwa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi iwe ile ile kwa wote na ingeweza…
Ningewashangaa kama wasingemshangilia…
Lingekuwa tukio la ajabu kweli kweli endapo wabunge wetu wasingemshangilia Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, alipozuru bungeni. Tena basi, ingekuwa ajabu mno kama wabunge wa kumshangilia wangekuwa wa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee! Kwa wale wanahabari wanaojua maana kweli ya…
Yah: Madalali kutumia akili ni jambo jema, nguvu si uungwana
Nianze kwa kusema kabisa kwamba chondechonde madalali kutumia akili ni jambo jema, nguvu si uungwana hata kidogo, inafedhehesha taaluma yenu na kuwafanya watu wawaogope kwa ujinga na siyo kwa heshima kama ilivyo kwa taaluma nyingine. Leo nimeamka nikifikiria sana masakata…
Hisani imepotea, tuirejeshe
Ihsani (hisani) ni neno muhimu sana kwa binadamu akitambua maana na matumizi yake. Ihsani ni moyo wa kumtendea mtu mema. Hii ni pamoja na kumhifadhi, kumkarimu na kumfanyia mtu jamala. Unapomtendea mtu hisani, si vyema kumtangaza au kumsimanga mbele ya…
Idi Amin katuletea vita na mshikamano
Siku kama ya leo, miaka 38 iliyopita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), likishirikiana na wapiganaji wa Uganda waliokuwa wanapambana dhidi ya majeshi ya Uganda waliteka Jiji la Kampala na kusambaratisha majeshi ya Idi Amin. Serikali ya Amin…