JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Utamaduni wa kupokezana madaraka udumishwe

Naam! Alhamisi ya Novemba 5, 2015, Watanzania tuliwashangaza, tuliwaelimisha na tuliwathibitishia Walimwengu kuwa madaraka ya kisiasa yanawezekana kuachwa kwa kupokezana kwa hiyari, upendo na amani bila ya kutumia ubabe, ung’ang’anizi wala mtutu kumwaga damu ya Wananchi. Uthibitisho huo ulionekana mbele…

Rais Magufuli, tunaomba iwe kazi kweli kweli

Kauli ya kampeni ya urais ya Rais John Magufuli ilikuwa: “Hapa ni kazi tu!” Ni kauli nzuri kama haiishii kwenye kampeni pekee. Kwenye moja ya hotuba zake za kampeni alitamka: “Deni langu kwenu ni kufanya kazi.” Watanzania wote wanasubiri kutimizwa…

Bora afya kuliko mali

Afya au siha (hygiene au health) ni hali ya mwili (physically) na akili (mentally) ilivyo kwa kadiri ya kila mtu binafsi anavyojisikia au kuonekana kwa wakati tofauti. Afya inahesabika kuwa ni njema au nzuri mtu anapokuwa timamu, thabiti, na bila…

Usiyoyajua kuhusu CR7

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amejinasibu kuwa yeye ni mchezaji bora ulimwenguni. Ronaldo au CR7 aliyepata kuichezea Manchester United ya England kwa miaka zaidi ya mitano, ana mengi ya kujivunia akiwa…

Dozi za Magufuli zaanza

Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli, akiwa anasubiri kuapishwa keshokutwa, tayari ameshaanza kazi zenye mwelekeo wa kuandaa aina ya Serikali atakayoiunda. Habari za uhakika kutoka kwa watu walio karibu na Dk. Magufuli, zinasema amekuwa akitumia muda mrefu…

Uwaziri Mkuu moto

Dk. John Magufuli akitarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wiki hii, mjadala wa nani atakuwa Waziri Mkuu na nani atakuwa Spika wa Bunge la Jamhuri, umeshika kasi. Kwa mujibu wa Katiba, mara baada ya kuapishwa Dk. Magufuli atatakiwa…