Latest Posts
Vita dhidi ya ujangili imguse kila Mtanzania
Kati ya mambo makuu yanayodhoofisha juhudi za kuhifadhi wanyamapori, hususan kupambana na ujangili, ni kutoonekana kumhusu mwananchi wa kawaida. Juhudi za uhifadhi na kumpambana na ujangili zinaonekana kutomhusu Mtanzania wa kawaida kwa sababu mbalimbali, na hasa yafuatayo: Jambo la kwanza…
Watanzania walijipanga kuikataa CCM
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjemin Mkapa, akiwa Tanga alisema kwamba dunia ingeshtushwa kama ingesikia kwamba Watanzania wamekiangusha chama kikongwe kama CCM. Alisema kwamba CCM ni chama cha ukombozi kinachoendelea kuwakomboa Watanzania. Lakini…
Seif, CUF waanza kuunda Serikali Z’bar
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amekuwa mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar hasa baada ya kutangaza kuwa anasubiri kuitwa na Tume ya Uchaguzi visiwani humo (ZEC) kumtangaza. JAMHURI lilipowasiliana na Maalim Seif…
Siku zote ubabe unagharimu
Jumapili Oktoba 25, 2015 tulikuwa na uchaguzi wa kihistoria hapa nchini. Nimeuita uchaguzi wa kihistoria kwa namna ulivyoendeshwa. Baada ya Tume ya Uchaguzi kupuliza kipenga Agosti 22, 2015 kuashiria mwanzo wa kujinadi wagombea katika Uchaguzi, kampeni zilianza kwa kishindo. Haijawahi…
Rais Magufuli nuru mpya (2)
Rais Dk. John Magufuli, ameianza wiki yake ya kwanza ya uongozi kwa kuwapa faraja Watanzania. Toleo lililopita tuliandika mambo kadhaa ambayo tuliamini Mheshimiwa Rais angeanza nayo. Baadhi ya mambo hayo ni kuwashughulikia wakwepa kodi wakuu, kupigwa marufuku kwa safari za…
Yah: Sasa ni kazi tu, majungu tupa kule
Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa namna ambavyo tumejipangia maisha ya uongozi na kuwa mfano mzuri wa kuigwa barani Afrika, tunatoa fundisho kwa wengine kwa kupitia mifano halisi, rais anaondoka madarakani akiwa na furaha tele moyoni na kumkabidhi mwenzake kijiti cha…