JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bandari ya Uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UJENZI wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ambapo tayari umefikia asilimia 70. Mradi huo ambao…

Rais Samia ametoa ruzuku asilimia 50 kwa mitungi ya gesi inayosambazwa na REA

📌REA yapongezwa kwa elimu ya nishati safi ya kupikia 📌Yaendelea kugawa majiko banifu na mitungi ya gesi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi…

Bukombe waunga mkono jitihada za Rais Samia, wakabidhiwa mitungi ya gesi

📌 Mitungi ya Gesi 1500 Yatolewa Bure 📌 DC Bukombe Ahimiza Wananchi Kutumia Nishati Safi ya Kupikia na Kutunza Mazingira Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Mhe. Paskazi Muragili amesema kuwa Wilaya yake imeendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri…

Nchimbi : Amani iwe kipaumbele chetu Watanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema amani na mshikamano wa Watanzania unapaswa kuwa mojawapo ya vipaumbele kwa kila Mtanzania. Balozi Nchimbi amesema kuwa wasisi wa Taifa la Tanzania na wazee walifanya kazi kubwa…

Bashungwa : Nia ya Serikali kuifungua Bagamoyo kupitia sekta ya ujenzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka msisitizo katika kufungua uchumi wa mji wa kitalii wa Bagamoyo kwa kuboresha miundombinu ya barabara, ikiwemo ujio wa mradi wa barabara…

Aziz Ki na Ntibazonkiza uso kwa uso

Nahodha wa timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza anatarajia kukiongoza Kikosi cha Burundi Intamba Murugamba katika kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Burkina Faso katika kusaka tiketi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Kwa upande mwingine, Aziz KI…