JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Magufuli: Nini Muhimbili njoo Karagwe

Afya ndiyo msingi wa uwepo wa maisha ya binadamu. Kwa mujibu wa  ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika mkutano wake wa Juni 19-22, 1946 na kusainiwa na wawakilishi wa nchi 61 duniani. ‘Afya ni hali…

Mabadiliko wanayohitaji Watanzania

Uchaguzi Mkuu wa Tano nchini Tanzania chini ya mfumo wa vyama vingi, umemalizika na Tanzania imepata Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Ajenda kuu ya wapinzani katika uchaguzi wa mwaka huu ilikuwa mabadiliko. Wakubwa ndani ya…

Dk. Magufuli usiwaige hawa

Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli, umeingia madarakani huku ukiachwa katika kipindi kigumu cha uchumi, wananchi wengi wakikabiliwa na umaskini wa kutisha. Wakati unaomba ajira kwa Watanzania, kumbuka ulijinadi kwamba utawaondolea umaskini wao kwa kila kijiji kuambulia…

Kidole kimoja hakivunji chawa

Kampeni na uchaguzi vimeisha salama. Namshukuru Mungu kwa kutupatia hekima na busara zilizofanikisha kushiriki mchakato huu kwa amani na utulivu pamoja na changamoto zilizojitokeza. Katika uchaguzi wa mwaka 2015, tumejifunza na kuona namna uchaguzi huu ulivyokuwa na ushindani mkubwa kuliko…

Siku zote ubabe unagharimu (2)

Wiki niliyopita, mwandishi wa makala hii aliachambua chaguzi mbalimbali. Alifikia hatua ya kuchambua Uchaguzi wa Oktoba 31, 2005 ambako Tume ya Uchaguzi ilikuja na matokeo Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipata kura 5,276,827 yule mgombea wa Chama cha…

Mwanya mwingine wa wakwepa kodi

Rais wetu sasa ni Dk. John Magufuli. Tuna wajibu wa kumsaidia ili aweze kutimiza ahadi zake nzuri alizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu”, hatuna budi kuitekeleza kwa vitendo. Hatuna muda wa kupoteza. Uzoefu…