JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Useful Information Explained

To solve difficulties with searchability together with assessment of information, it’s essential to understand something about the content. In case the info isn’t right, or even low-quality, the manager could possibly earn a decision that has a negative effect on…

Waziri apiga ‘dili’

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), analalamikiwa kutoa zabuni za mabilioni ya shilingi na mamilioni ya dola kwa kampuni kadhaa za ndani na nje ya nchi katika mazingira yanayotia shaka, JAMHURI limeambiwa. Miongoni  mwa wanufaika ni mmoja wa mawaziri katika Serikali…

Utajiri Mhasibu Takukuru watisha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, imetoa amri ya zuio la mali za Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai. Amri ya Mahakama ya Kisutu ilitolewa Mei 8, mwaka huu; na Gugai anatarajiwa…

Wanatafutwa kwa mauaji

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, limebaini sehemu ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji 12 yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji, akiwamo mwanzilishi wa mauaji hayo, anayetajwa kwa jila la Abdurshakur Ngande Makeo. Akizungumzia hali ya kiusalama kutokana na vitendo…

Tusipuuze mauaji ya Kibiti

Leo gazeti hili la JAMHURI limechapisha taarifa za Jeshi la Polisi kutangaza orodha ya watu 11 wanaotuhumiwa kufanya mauaji huko wilayani Rufiji. Mauaji haya yanafanywa kwa utaratibu wenye kutia shaka. Hawauawi wananchi wa kawaida. Wanauawa viongozi. Hadi sasa viongozi wapatao…

Misamaha ya kodi ilivyoumiza nchi

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi na Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2015/2016 imefichua jinsi nchi inavyopata hasara kutokana na misamaha ya kodi iliyotolewa na Serikali. Katika ripoti hiyo, CAG amebainisha matumizi yasiyostahiki ya misamaha ya kodi kwa…