Latest Posts
Biashara ya ngozi yaporomoka
Sekta ya ngozi imeendelea kuwa njia panda baada ya wadau wa ngozi kulalamika kuhusu kuharibika kwa ngozi na kukosa wateja, huku Chama cha Kusindika Ngozi nchini kikikabiliwa na uhaba wa ngozi; jambo ambalo linahatarisha uhai wa viwanda. JAMHURI limezungumza na…
Uzalendo si kuwabeba wasiokuwa na sifa
Miongoni mwa habari zilizopewa umuhimu wa juu katika matoleo yaliyopita ya Gazeti la JAMHURI, zilihusu zabuni za mabilioni ya shilingi kwenye Awamu ya Tatu ya Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini. Mradi huo ulio chini ya Wakala wa Nishati Vijijini…
Magufuli anakubalika kwa Watanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, wiki iliyopita alidhihirika kukubalika kwa wananchi kupitia utafiti wa Shirika la Twaweza, uliobainisha utendaji wake kukubalika kwa asilimia 71. Utafiti huo uliopewa jina la ‘Matarajio na Matokeo; vipaumbele, utendaji na siasa…
Majivuno ni jeraha lisiloponyeka katika maisha
Tendawili: Tega! ‘Ananifanya nichukiwe na kila mtu.’ Jibu ni ‘Majivuno’. Majivuno ni jeraha lisiloponyeka katika maisha. Ni donda ndugu. Machi, 12-16 Agosti, 2013, Jarida la ‘New People’ la nchini Kenya, lilichapisha makala yangu iliyokuwa inasema, ‘Holy family’’. Padre Erickson Wangai…
Ripoti ya Kamati ya Pili ya Madini
Muhtasari wa ripoti ya kamati maalum ya kuchunguza masuala ya kisheria na kuichumi kuhusiana na mchanga wa madini unaosafirishwa nje ya nchi. Utangulizi Mheshimiwa Rais, Kama ambavyo Watanzania watakumbuka tarehe 10 April 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Ndugu Rais hapa umekandamiza mwanawane
Ndugu Rais, sasa naanza kuwaelewa wanawema wengi wanaosema mengi yaliyoandikwa katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu au ni utabiri au ni unabii! Tumwachie Muumba afanye kazi yake. Unaweza pia ukawa mfano wa mcheza bao hodari! Nasukumwa sasa kuwaelewa vema,…