Latest Posts
Mawaziri wa JPM na mbio za sakafuni
Kasi ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano chini Rais Dk. John Pombe Magufuli inatia shaka. Bila shaka, baadhi yao wanaonekana kutafuta sifa ambazo hawastahili. Hawa wanaongozwa na hofu ya kutimuliwa kazi. Tangu walipoapishwa Desemba 12, mwaka huu, mawaziri…
Tumepevuka kisiasa (2)
Kwa kuwadokeza tu, vijana wale niliwasimulia juu ya chombo kimoja cha muziki tulichokitumia enzi za ukoloni. Chombo chenyewe kinaitwa santuriI (kwa Kiingereza ni gramaphone) ni sanduku la muziki lenye kamani ndani yake na mkono (handle). Lakini cha muhimu sanduku lile…
Tatizo la Tanzania si Katiba mpya
Mwaka 2012 niliandika makala katika safu hii iliyosema: “Nitakuwa wa Mwisho Kuishabikia Katiba Mpya”. Nilisema nimejitahidi kutafakari ni kwa namna gani Katiba mpya itatuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka, nimekosa majibu – na sidhani kama nitayapata. Fikra zangu zikanirejesha enzi za…
Yah: Mwisho wa kuiga haupo mbali
Kuna wakati niliwahi kufikiria kuwa naweza kuwa mkimbiaji mzuri wa mbio ndefu kama ambavyo akina Juma Ikangaa, Filbert Bayi, Suleiman Nyambui na wengine, nifanye hivyo ili kutoa aibu kwa Taifa langu ambalo limeshindwa kupata wakimbiaji bora kwa kipindi kirefu hadi…
Watanzania tujihadhari, misaada na mikopo
Kasi ya utendaji kazi za Serikali katika awamu hii ya tano, imeanza na dalili njema ya kuwaletea mabadiliko ya kweli ya kurudisha mfumo wa utawala bora ambao utaboresha maisha ya Watanzania, uchumi imara na maendeleo himilivu. Watanzania wameanza kupiga mayowe…
Ukomavu wa kisiasa na woga wa mabadiliko
Mara zote Watanzania wamejitambulisha kama wakomavu wa siasa, ukomavu usioeleweka namna ulivyo kama nitakavyoonesha hapa chini. Ikumbukwe kwamba mara baada ya Tanganyika (Tanzania Bara) kujitawala kabla ya kuungana na Visiwa vya Zanzibar, iliamriwa kwamba ni bora nchi ikafuata udikteta wa…