JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bukombe waunga mkono jitihada za Rais Samia, wakabidhiwa mitungi ya gesi

📌 Mitungi ya Gesi 1500 Yatolewa Bure 📌 DC Bukombe Ahimiza Wananchi Kutumia Nishati Safi ya Kupikia na Kutunza Mazingira Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Mhe. Paskazi Muragili amesema kuwa Wilaya yake imeendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri…

Nchimbi : Amani iwe kipaumbele chetu Watanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema amani na mshikamano wa Watanzania unapaswa kuwa mojawapo ya vipaumbele kwa kila Mtanzania. Balozi Nchimbi amesema kuwa wasisi wa Taifa la Tanzania na wazee walifanya kazi kubwa…

Bashungwa : Nia ya Serikali kuifungua Bagamoyo kupitia sekta ya ujenzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka msisitizo katika kufungua uchumi wa mji wa kitalii wa Bagamoyo kwa kuboresha miundombinu ya barabara, ikiwemo ujio wa mradi wa barabara…

Aziz Ki na Ntibazonkiza uso kwa uso

Nahodha wa timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza anatarajia kukiongoza Kikosi cha Burundi Intamba Murugamba katika kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Burkina Faso katika kusaka tiketi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Kwa upande mwingine, Aziz KI…

Kila la kheri Taifa Stars

Na Isri Mohamed Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo saa moja usiku itashuka dimbani katika uwanja wa Stade Des Martyrs uliopo mjini Kinshasa kuumana na timu ya Taifa ya DR Congo wakiwania tiketi ya kufuzu Afcon mwaka 2025,…

Msimu wa 25 wa maonesho ya Tiba yazinduliwa rasmi Dar

Na Lookman Miraji Msimu wa 25 wa maonyesho ya tiba yamezinduliwa rasmi hapo jana jumanne ya oktoba 9 katika ukumbi wa diamond jubilee ulioko upanga, Dar es salaam. Maonyesho hayo ambayo hufanyika kila mwaka ambapo huandaliwa na kampuni expo kwa…