JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rafiki yangu Zitto, tunajifunza nini kwa Dk. Kabourou?

Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe, awali ya yote naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwa hai na kuandika makala hii, pili kushuhudia wewe ukiwa Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kwani sikutarajia kuwa ipo siku utakuwa mwakilishi wa wananchi wa mji…

Hitler na ndoto za kutawala dunia

Kiongozi wa Chama cha Kisoshalisti kilichojulikana kama ‘NAZI’, Adolf Hitler (1889-1945) alikuwa mmoja wa madikteta dhalimu na wenye nguvu kuwahi kutokea katika karne ya 20.  Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mbabe huyo aliamka kwa nguvu kupitia chama…

Mfumo wa elimu una kasoro

Tanzania ni moja ya nchi ambazo asilimia kubwa ya vijana wanaohitamu masomo kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu na kati, ni wengi ukilinganisha na nafasi za kupata ajira katika fani walizozisomea. Na wengi kutunukiwa vyeti vya stashahada na wengine…

Huduma ya Kwanza: Shambulio la Moyo

Mwathirika wa ajali huhitaji ahudumiwe haraka, tena kwa muda mfupi, huku mipango ikiwa inafanywa hadi atakapotokea daktari au atakapopelekwa zahanati ama hospitali kwa tiba inayostahili…   Shambulio la moyo (heart attack) mara nyingi hufanana na kuzirai kunakompata mwenye msongo wa…

Rais Magufuli, matumizi ya mkaa ni janga la kitaifa

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na rehema zake nyingi anazotujalia kila kukicha. Nimshukuru pia Mungu wetu aliye hai kwa kutujalia kumpata Rais wa Jamhuri ya Tanzania anayeonekana kuwa msitari wa mbele kwa kuyajali maslahi ya Watanzania wa mijini…

Mungu huyu wa M-Pesa, tiGO Pesa ananipa shaka

Wizara ya Afya imepiga marufuku matangazo ya waganga wa kienyeji na wale walioboresha neno hilo na kujiita ‘tiba mbadala’. Uamuzi wa Serikali umekuwa kama mtego wa panya – unawakamata waliomo na wasiokuwamo. Si wote wenye kutoa aina hiyo ya tiba…