JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Diwani CCM avamia barabara, ajenga

Diwani wa Kata ya Kijichi, Anderson Chale, analalamikiwa na wananchi wa mtaa wa Mbagala Kuu, Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam kwa kuvamia eneo la barabara na kujenga jingo. Wananchi hao wanasema kutokana na uvamizi huo uliofanywa kwa makusudi…

Mgogoro wa Z’bar umechusha

Mgogoro wa kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar umekuwa na athari kubwa kwa Wazanzibari na Watanzania kwa jumla. Ingawa hatuungi mkono misaada ya masharti, lakini kitendo cha Marekani kuinyima Tanzania msaada kwa sababu ya mgogoro huo, kinapaswa kutuamsha. Tuamke kwa kuhakikisha…

Madiwani wamliza mbunge

Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, mkoani Geita, Hussein Amar Kasu, amejikuta akipigwa na butwaa baada ya mtu aliyemwandaa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri, John Isack John, kushindwa. John, Diwani wa Kata ya Kafita, aliandaliwa mazingira ya ushindi ambapo madiwani 14 kati…

Kashfa ya ufisadi bosi Uhamiaji

Idara ya uhamiaji inafukuta, baada ya uwepo wa taarifa za ununuzi wa kiwanja cha ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya askari wa taasisi hiyo kilichonunuliwa mkoani Mbeya hivi karibuni. Vyanzo vya habari kutoka katika jeshi hilo vimedokeza kuwa viongozi wa…

‘Unga’ wasambaratisha polisi

Wiki moja tu baada ya JAMHURI kuchapisha orodha ya wauzaji na wasafirishaji wa dawa za kulevya, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya uhamisho kwa askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni na Mkoa wa Tanga. Habari za uhakika…

Profesa Shivji auonavyo uongozi wa Rais Magufuli

Profesa Issa Shivji, hivi karibuni alihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Azam, kuhusu siku 50 za uongozi wa Rais John Magufuli. Ufuatao ni mtazamo na ushauri wake kwa Serikali ya Awamu ya Tano   Ni kweli kwamba ni siku 50…