Latest Posts
Nyalandu ajiandaa kurejea Maliasili kwa kutumia Bunge
Sasa ni dhahiri kuwa juhudi za aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Jakaya Kikwete, Lazaro Nyalandu, kutaka kuwa mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Dk. John Magufuli zimegonga mwamba. Kama ambavyo ilikuwa katika…
Almasi ya Mwadui inavyompamba Malkia Elizabeth II wa Uingereza
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaaliwa kuwa na aina mbalimbali za madini na inatajwa kuwa kitovu cha madini ya vito barani Afrika. Miongoni mwa madini hayo ya vito ni almasi. Asili ya neno ‘almasi’ kwa lugha ya Kiswahili haifahamiki vizuri,…
Makulilo ni nani kwenye udhamini wa elimu ughaibuni?
N dugu wadau wote wa gazeti la JAMHURI, nimerudi tena kuungana nanyi. Kwa wale ambao mmekuwa mnafuatilia gazeti hili makini lilipoanza, nilikuwa naandika makala kila wiki kuhusiana na masuala ya UDHAMINI WA ELIMU YA JUU UGHAIBUNI yaani SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES. Kwa…
Hakuna nchi iliyoendelea kwa soko huria
Desemba 15, mwaka jana ulifanyika mkutano wa Shirika la Biashara Duniani (WTO). Mawaziri wa biashara kutoka nchi 162 wanachama walikutana jijini Nairobi, Kenya ili kuzungumzia mfumo wa biashara kimataifa. Wajumbe 7,000 walimiminika Nairobi, wakiwamo wanaharakati na wawakilishi wa asasi za…
Huduma ya Kwanza: Majipu
Mwathirika wa ajali huhitaji ahudumiwe haraka, tena kwa muda mfupi, huku mipango ikiwa inafanywa hadi atakapotokea daktari au atakapopelekwa zahanati ama hospitali kwa tiba inayostahili… Majipu (boils) hutokea ndani ya ngozi inayozunguka kitundu cha kutolea jasho mwilini, penye shina…
CCM yataka Serikali ya kibabe, udikteta
Ni ukweli usiopingika kwamba kauli zilizotolewa na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita kwamba chama hicho hakiwezi kukabidhi nchi kwa njia ya makaratasi (kura) zimethibitisha kuwa utawala wa kidemokrasia Tanzania hauna nafasi. Kauli hizo…