JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

UDA kumtumbua Iddi Simba

Serikali imeanza taratibu za kufufua kesi ya ufisadi wa uuzwaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambalo ni mali ya umma. Vyanzo vya habari vya uhakika vimelithibitishia JAMHURI kuwa Serikali ya Awamu ya Tano tayari imeshaanza kufuatilia Shirika…

Polisi, Magereza wadaiwa sugu Moshi

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imezitangaza rasmi taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro kuwa ni wadaiwa sugu. Taasisi hizo ni Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kilimanjaro, Chuo cha Taaluma ya Polisi (MPA),…

RC, wana mazingira watifuana K’njaro

Wanaharakati wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla (pichani), kufuta maagizo yake ya kuzitaka halmashauri za wilaya kuvuna magogo katika misitu ya asili kwa ajili ya kutengeneza madawati. Makalla akiwa wilayani Same hivi karibuni, alitoa maagizo…

JPM avalia njuga rushwa kortini

Rais Dk. John Magufuli ametikiswa na ripoti ya rushwa katika mahakama za Tanzania. Ameanza kulivalia njuga suala hilo kwa kasi ya ajabu. Mbali ya madai ya kubambika kesi kunakofanywa na Jeshi la Polisi, taarifa mpya zilizotua mezani kwa Rais Dk….

Tujadili uhalali wa bomoabomoa

Kama tujuavyo, Tanzania imepata Rais mchapakazi. Ni Dk. John Pombe Magufuli. Kupata Rais mchapakazi hapana shaka ni baraka. Lakini inaweza ikawa ni laana. Kwa vipi? Tuna viongozi tunaoendelea nao tangu Serikali ya Awamu ya Nne. Wengi wao hawakuwa wachapakazi. Walikuwa…

Watanzania hatuna budi kuheshimu sheria

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuvusha salama mwaka 2015 na kutujaalia kuuanza mwaka 2016. Ni vema na haki kumshukuru Mungu wetu kwa kila hali na kila mahali maana yote tunayaweza kwa mapenzi yake na si tu kwa uwezo wetu wenyewe. Kipekee…