Latest Posts
Dk Biteko ahimiza Watanzania kupiga kura Novemba 27, 2024
📌 Asisitiza Kupiga Kura ni Haki ya Kikatiba Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani…
Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki
Na Isri MohamedRapa wa kike kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi ametangaza rasmi kuachana na muziki mara tu baada ya kuachia albamu yake. Sho Madjozi amethibitisha hilo akiwa kwenye mahojiano na kituo cha SABC News Online, ambapo amesema. “Ndio naachana na…
Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Vilnius nchini Lithuania Ndege hiyo, inayoendeshwa kwa DHL na Shirika la Ndege la Uhispania la Swiftair, ilianguka karibu na nyumba…
Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut
Jeshi la Israel linasema takribani roketi 250 zimerushwa na Hezbollah kuvuka mpaka kutoka Lebanon, na kuashiria moja ya mashambulizi makali zaidi ya Israel tangu mapigano yalipozidi mwezi Septemba. Watu kadhaa walijeruhiwa na majengo kuharibiwa kaskazini na kati mwa Israel, baadhi…
Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa
Na Isri Mohamed Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Mulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema endapo nyumba yako au gari yako ikikutwa na dawa za kulevya, basi itataifishwa kwa mujibu wa sheria. Kamishna Lyimo ameyasema hayo…