JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kampuni 50 zina nia ya kuwekeza vituo vya CNG

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema kuwa hadi sasa Kampuni 50 zina nia ya kuwekeza vituo vya kujaza gesi asilia iliyogandamizwa (CNG) nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa…

Viongozi vyombo vya usalama Tarime washauriwa kuacha kutumia nguvu

Wizara ya Katiba na sheria imevishauri vyombo vya Usalama kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya Utumishi na Utawala bora badala ya matumizi ya nguvu katika Kutekeleza majukumu yao ya usalama. Kauli hiyo ameitoa mwansheria kutoka Jeshi la Polisi Tanzania ACP…

Aliyekuwa mhasibu KMC FC afikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa

Aliyekuwa Mhasibu wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC), Bw. Atulinda Barongo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi. Bw. Barongo anashtakiwa kwa…

17 mbaroni kwa ulawiti na mauaji Mtwara

WATU 17 wametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali mkoani humo. Akizungumza leo mkoani Mtwara, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Issa Suleiman – SACP amesema watuhumiwa hao wamekamatwa…

Somalia Ethiopia kumaliza mivutano ya kikanda

Serikali ya Marekani imepongeza hatua ya makubaliano yaliyofikiwa na Somalia na Ethiopia ya kumaliza mivutano ya kikanda, iliyochochewa na shinikizo la Ethiopia la ufikiaji salama wa baharini. Katika taarifa maalum iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony…

DC Iringa aona mwanga Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Iringa MKUU wa wilaya ya Iringa, Herry James, amesema kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itasaidia kuondoa migogoro iliyopo ya uelewa mdogo wa haki za binadamu, mila na desturi kandamizi, vitendo vya ukatili wa…