Latest Posts
Ubaguzi Tuzo Oscar: Watu weusi wasusa
Mcheza filamu, raia wa Kenya, Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine Weusi kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo za Oscar. Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana…
Wenye Man United waikwepa timu yao
Mtendaji mkuu wa zamani wa Manchester United ya England, David Gill ameangalia uwezo wa timu hiyo kwa sasa akatikisa kichwa kisha akasema, “Hawa sio mashetani wekundu ninaowajua.” Bila kutafuna maneno wala kupepesa macho na kutikisa masikio, Gill amesema, “Ninachokiona kwa…
Familia ya JK yahusika UDA
Baada ya usiri wa muda mrefu juu ya familia ya Rais (mstaafu), Jakaya Kikwete, kuhusika na ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) uliotawaliwa na kiwingu, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebainika kuwa familia hiyo inahusika na ni…
Matajiri 3 mbaroni kwa mauaji Moshi
Hatimaye watuhumiwa watatu kati ya watano wa mauaji ya John Massawe, katika Kijiji cha Kindi, Kibosho mkoani Kilimanjaro, wamekamatwa. Masawe aliuawa kikatili Juni 9, 2009 kijijini hapo, lakini baadaye watuhumiwa wa mauaji hayo wakaachwa. Waliokamatwa na kuwekwa rumande katika Kituo…
Zavala ‘wasotea’ umeme miaka 7
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani, limesema wananchi wa Zavala, Kata ya Chanika wataanza kupelekewa huduma ya umeme wiki hii. Meneja wa Tanesco Mkoa wa Pwani, Injinia Martin Madulu, ameithibitishia JAMHURI kuwa maandalizi yote kwa ajili ya kazi…
Safari ya kuelekea demokrasia ngumu
Wiki hii nianze kwa kukuomba radhi msomaji wangu kwa kutokuwapo kwenye Safu hii wiki iliyopita. Nilipata dharura, ila namshukuru Mungu kuwa imekwisha salama na maisha yanaendelea. Leo nimejaribu kuandika somo pana kidogo linalohusu demokrasia katika nchi yetu. Naandika somo hili,…