JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hakuna Uzalendo wa Hiari

Namwona Deodatus Balile kwenye Malumbano ya Hoja (ITV). Anajitahidi kueleza, lakini inshangaza sana baadhi ya wasemaji kunadi kuwa uzalendo ni suala la hiari!  Heee, ajabu sana! Uzalendo unajengwa tena kwa gharama kubwa -tutake tusitake- siyo suala la mtu kuzaliwa na…

Babu Seya, Papii Watikisa

Watu mbalimbali ndani na nje ya nchi wamepokea kwa shangwe kuachiwa huru kwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe, Johnson Nguza (Papii Kocha) baada ya kuwapo gerezani kwa miaka 13 na miezi minne….

Loliondo Yametimia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kumaliza mgogoro wa matumizi ya Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Desemba 6, mwaka huu, Waziri Mkuu alitangaza msimamo wa Serikali kuhusu eneo hilo kupitia kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa,…

Ukweli Kuhusu Soko la Muhogo China

Sasa mkulima au mfanyabiashara akitaka kuuza au kununua muhogo, ni lazima aelimishwe juu ya masharti hayo ya mkataba. Mwenye dhamana ya kutoa elimu hiyo ni nani? Kwa maoni yangu ni Wizara ya Kilimo ambayo ndio imeingia mkataba na Mamlaka za…

Hizi Ndio Sababu za JWTZ kwenda DRC

Mei, 2013, aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wapiganaji wa Tanzania waliokwenda DRC kulinda amani dhidi ya waasi wa kundi la M23 Mashariki wa nchi hiyo. Rais Kikwete alimkabidhi bendera kiongozi wa…

ADF waandaliwa ‘kipigo cha mbwa mwizi’ kama cha M23

Ni wazi kuwa siku za kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) linaloshutumiwa kwa kuwaua wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), sasa zinahesabika. Kundi hilo lipo DRC na Uganda, na limekuwa likiendesha mauaji kwa…