JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Biteko aongoza wananchi Bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura

📌Awahimiza Kujitokeza kwa Wingi Kujiandikisha 📌 Awataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi Wao Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa…

ACT-Wazalendo walalamikia utaratibu wa uwazi mchakato wa Uchaguzi Serikali ya Mtaa

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Wakati Daftari la Kudumu la Kujiandikisha la Kupiga kura zoezi likianza Oktoba 11, 2024 Chama cha ACT – Wazalendo kimesema kuna baadhi ya mambo hayako sawa hivyo wameiomba TAMISEMI kuwa na uwazi, uadilifu na mfumo…

UWT ipo na Rais Samia uhamasishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia – Chatanda

📌Nia ni watanzania wengi zaidi watumie nishati safi ya kupikia 📌Asema UWT itaendelea kuishauri Serikali uwepo ya mitungi ya gesi ya gharama nafuu zaidi 📌 Wanawake na watoto watajwa kuwa waathirika wakubwa matumizi ya nishati isiyo safi Mwenyekitiwa Jumuiya ya…

Mjumbe Halmashauri Kuu UMD, Gombo awashauri wananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi Serikali ya Mtaa

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea.  Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa wa chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Gombo Samandito amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu na kushiriki kikamilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa akisisitiza umuhimu…

Wadau TPA waridhishwa na huduma za bandari nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam WADAU mbalimbali na watumiaji wa huduma za bandari wameridhishwa na ubora wa huduma sambamba na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) wakisema mamlaka imefanikiwa kukidhi matarajio ya wateja wake pamoja…

NEMC yawapa elimu kikundi cha wanawake na Samia

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeendesha semina ya siku moja ya elimu ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira kwa kikundi cha Wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma. Semina hiyo imefanyika…