Latest Posts
Mtulia Kuwania Ubunge Tena Kinondoni Kupitia CCM
Aliyekuwa Mbunge Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia ambaye amehamia CCM ametangaza nia ya kugombea tena ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya chama hicho tawala. Desemba 2 Mtulia amejiuzulu nafasi ya ubunge, huku akisema amefikia uamuzi huo bila kushawishiwa mtu yeyote…
How to Find Useful Site Online
Whether you require information about how to submit an application for new registration or simply will likely need to understand how to modify your privately owned info, the site has a manual on fit your every require. The news info…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 16, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Disemba, 16, 2017 nimekuekea hapa.
Zanzibar Heroes Yaishangaza Tena Dunia, Baada ya Kuwafumua Uganda 2-1
Timu ya Taifa ya Zanzibar , Zanzibar heroes imezidi kuonyesha maajabu yake kwenye michuano ya CECAFA, baada ya leo kuwatoa mabingwa watetezi Ugnada kufuatia kipigo cha 2-1 na kutinga hatua ya fainal ambapo watakutana na timu ya Taifa ya Kenya….
Mawakili Wapya 80 Waapishwa
ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa nchini huku Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Juma akitia neno juu ya kuhakikisha wanatumia taaluma yao kusaidia jamii na…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 15, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Disemba, 15, 2017 nimekuekea hapa.