Latest Posts
Ni vyema Serikali ikajitazama upya
Mwanzoni mwa mwaka jana wakati Watanzania walipokuwa wakisubiri uchaguzi, baadhi ya watu walizungumzia sifa za Rais Watanzania waliokuwa wakimuhitaji. Sifa ya kwanza iliyotajwa ni kuwa Watanzania walikuwa wanamuhitaji Rais dikteta yaani mwamrishaji. Waliotoa maoni hayo walidai kuwa nchi imefikia mahali…
ATC wapewe mkataba wa Swissport
Air Tanzania ndilo Shirika la Ndege la Taifa (national flag carrier) ambalo linastahili kumiliki huduma zote muhimu katika Viwanja vya Ndege vyote vya Tanzania, lakini hali iko kinyume. Huduma zinazotolewa katika viwanja vya ndege ni pamoja na miziggo (Cargo handling),…
Majangili yateketeza Hifadhi
Athari za kupunguza maeneo ya Hifadhi Mchanganuo wa faida za maeneo yaliyohifadhiwa na zile za ufugaji yanaonesha wazi kuwa hifadhi ya maliasili ni sekta muhimu, pana na mtambuka. Sekta hii ndio msingi wa kuwapo kwa maendeleo ya sekta nyingine nyingi…
Tuendeleze demokrasia (1)
Juzi juzi hapa, wakati naangalia runinga matangazo ya BBC, kulikuwa na majadiliano makali katika Bunge la Uingereza. Kule kwanza kumetokea kashfa ile ya Panama. Nyaraka za Kampuni ya Mossack Fonseca zilizowataja vigogo waliokwepa kodi nchini kwao, na kupeleka fedha zao…
Ukombozi wa Mwafrika umetimia?
Kesho Mei 25 ni Siku ya Afrika, siku ambayo imewekwa na Umoja wa Afrika (AU) kwa nia ya kukumbuka na kutathmini nguvu na uwezo uliofanywa na Umoja huo katika harakati za kukomboa nchi za Bara la Afrika. Historia ya Umoja…
Yah: Mtu akibaki kimya ni vigumu kuelewa uwezo wake wa kutafakari mambo
Huwa napenda sana kuingia katika vikundi vya watu vinavyojadili hoja mbalimbali za siasa, michezo, jamii na utamaduni. Kuna wakati pia huwa najihusisha hata katika makundi yanayofanya majadiliano ya utani ili niweze kucheka. Mtu akibaki kimya ni vigumu kuelewa uwezo wake…