Latest Posts
Yah: Tuseme sasa yatosha ili tuweze kusonga mbele
Nianze waraka wangu wa leo kuwashukuru sana wasomaji wangu wa barua zangu ambao mmenipa moyo sana wa kuandika kila iitwapo Jumanne, ili kutoa mawazo yangu ya kizuzu japo mengi ya mawazo ni yale ambayo mnanishauri ninyi wasomaji wangu. Tuendelee kukumbushana kila…
Tanzania itachanika
Haifai, kwenda kusimama juu ya milima, kupokea mapesa kwa mabepari, kwa kutaka kuangamiza nchi, haifai. Tizameni nyiye mambo mnayotaka kuyafanya, ni mabaya sana, roho za watu wengi zitakuja potea, na wakati huo Mungu atakuja wakasirikia. Haifai. Tanzania itakuja chanika ooh!…
Ndugu Rais nijaalie nimzike Wilson Kabwe
Ndugu Rais, sijaja hapa kumlilia Wilson Kabwe, la hasha. Nimekuja hapa ndugu Rais, kumzika Wilson Kabwe. Katika kitabu cha Julius Kaizari kama kilivyotafsiriwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, imeandikwa, “Mtu akifa huzikwa na mazuri yake yote. Mabaya yake hubaki yakizagaa…
Tuwaenzi waasisi Jumuiya ya Afrika Mashariki
Juma lililopita, asasi isiyo ya kiserikali – Afrika Mashariki Fest, ilikutanisha wana wa Afrika Mashariki jijini Kampala, Uganda na kutambua mchango wa viongozi waliotangulia katika kuanzisha na kujenga umoja wa nchi za Afrika Mashariki – Kenya, Uganda na Tanzania –…
Mpango wa Taifa wa kuchochea ukuaji viwanda
Lengo la kufikia uchumi wa kujitegemea imekuwa ni dhamira ya Tanzania kwa muda mrefu. Hatua mbalimbali za kimaendeleo zimekuwa zikichukuliwa ili kufikia azma hiyo. Ili kufikia azma hiyo, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 imebainisha malengo matatu ambayo ni kuwaletea…
Tuendeleze demokrasia (2)
Hayo ndiyo yaliyoongolewa pale Dodoma na mengi mengineyo ndiyo yalitokea wakati ule hali ya hewa ilipochafuka huko Visiwani. Hali ile ilisababisha Mzee wetu Jumbe ajiuzulu uongozi; akaacha Urais wa Zanzibar, akaacha umakamu wa Rais wa Jamhuri na akaacha umakamu wa…