JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chama cha Siasa ni Umoja

Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…

Nyerere: Huwezi Kuwadanganya Wote

“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote, ila hauwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.” Haya ni maneno yaliyojaa hekima yaliyotolewa na Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius…

Familia Yadai ‘Kutapeliwa’ Nyumba Kinondoni

Familia ya Mohamed Msabaha (95) ya jijini Dar es Salaam inadai `kutapeliwa’ nyumba ya mzazi wao huyo kwa madai kuwa mnunuzi alimlaghai, hivyo wameiomba Serikali iwasaidie kuirejesha. Nyumba hiyo inadaiwa kununuliwa na mtu anayetajwa majina ya Hussein Mkufya, kwa makubaliano…

Waziri Lukuvi Nisaidie

Mimi ni Mtanzania ambaye kwa sasa nipo nchini Marekani nikijiendeleza  na kufanya shughuli mbalimbali kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Mwaka 2008 nilikuja nyumbani (Tanzania) na kuelekea mkoani Mbeya kutafuta kiwanja cha makazi. Nilifanikiwa kupata kiwanja na kukabidhiwa hati miliki namba…

Hifadhi Duni Yasababisha Kahawa Kutonunuliwa Mnadani

Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Kilimanjaro vinavyotumia kiwanda cha kukoboa kahawa cha Tanganyika (TCCCo), vipo katika wakati mgumu baada ya kahawa yao kutonunuliwa kwenye mnada unaoendeshwa na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB). Kususiwa kwa kahawa hiyo, kunaweza kusababisha vyama hivyo…

Catalonia Yashinda Uchaguzi ya Kutaka Kujitoa na Uhispania

Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia. Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo idadi ya…