Latest Posts
Mabilioni yatafunwa NIP
Mradi wa uendelezaji viwanja viwili vilivyoko Mtaa wa Ohio (Plot 775/39 na 776/39) vya Shirika la Tija la Taifa (NIP), unaonekana kuwa ni ‘hewa’ kutokana na kutokamilishwa kwa mujibu wa makubaliano ya wabia wawili waliojitokeza kuendeleza viwanja hivyo kwa nyakati…
Barua ya elimu kwa Rais Magufuli
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyonayo ya kulijenga taifa letu. Wananchi wanyonge wamekuwa na imani kubwa na wewe kutokana na juhudi zako ambazo umeishazionyesha katika kuwaletea maendeleo tangu uingie madarakani. Tunakutia moyo na kukuombea uendelee na…
Rais Magufuli epuka ushauri huu!
Wiki iliyopita nilikuwa katika kipindi cha ‘Malumbano ya Hoja’ kinachorushwa ‘live’ na ITV. Mjadala kadiri ulivyoendelea nilipata shida kidogo. Niliwaona baadhi ya wachangiaji wakizungumza lugha ya hatari, ambayo ninaisoma katika baadhi ya magazeti. Wanasema Rais John Magufuli anahujumiwa. Sitanii, neno…
CCM chama tawala kilichoshindwa kutawala
Majuzi, aliyekuwa Spika wa Bunge la kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, alisema kwamba ushindi wa Rais Dk John Magufuli katika Uchaguzi Mkuu 2015 umenusuru Watanzania na machafuko. Amesema kwamba machafuko yangeweza kutokea kutokana na tofauti kubwa ya…
Kiwanda cha Saruji chatesa wakazi Dar
Wakazi wa kata za Boko na Bunju, Dar es Salaam wamekilalamikia Kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa uharibifu wa mazingira ambao umeathiri makazi na uharibifu wa mali zao. Wakazi hao wameieleza JAMHURI kwamba maporomoko ya maji kutoka katika…
Rasilimali za Tanzania na umaskini wa Watanzania
Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi, ninaamini kwenye falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo. Mwezi Agosti wa mwaka 386 akiwa…