Latest Posts
Tumefeli somo la ustaarabu
Kuna ‘kosa’ nimelitenda hivi karibuni. Kosa lenyewe ni la kuwakwida vijana wawili walioamua-bila soni- kujisaidia hadharani katika barabara tunayoitumia mtaani kwetu. Wale vijana sura zao zilikuwa ngeni kwangu. Nilipowakaribia, nilishuka katika gari na kuwauliza kwanini wameamua kujisaidia hadharani. Jibu lao…
Yah: Ukasumba wa kijinga wa kuiga kila kitu cha ajabu
Wiki kadhaa zilizopita, niliwahi kuandika hapa juu ya kasumba ya kudharau kilicho chetu na kuona cha watu wengine ni bora kuliko chetu. Niliwakumbusha maisha yetu ya kujitegemea siku chache baada ya Vita ya Uganda jinsi tulivyofunga mikanda na kujitegemea kwa…
Watanzania usalama wetu mikononi mwetu
“Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi; kama ukipuuza. Ukiniona nataka kulipiga teke jiwe kwa kuwa nafikiri kuwa ni dongo au…
Mbinu za kubadalisha tabia mbovu
Kwenye kitabu nilichosoma hivi karibuni, The Power of Habit (Kwa Kiswahili: Nguvu ya Kubadilisha Tabia) mwandishi Charles Duhigg anatoa somo juu ya namna ya kubadilisha tabia zisizofaa. Ni kitabu kilichochapishwa mwaka 2012 na kampuni ya Random House Trade Paperbacks ya…
Muhammad Ali; Bondia aliyetikisa dunia
Muhammad Ali (74), bingwa wa zamani wa dunia wa ngumi za uzani wa juu na mmoja kati ya wanamasumbwi bora zaidi duniani, aliyefariki katika Hospitali ya Phoenix Area, Arizona, nchini Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita. Bondia huyo aliyetamba katika miaka…
Kitwanga sikio la kufa
Mambo mapya yameibuka kuhusiana na kuvuliwa uwaziri kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, aliyevuliwa wadhifa huo Mei 20, 2016 baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa. Vyanzo vya habari vya uhakika vimeiambia JAMHURI kuwa…