Latest Posts
Yah: Bajeti nzuri na ya kweli japokuwa imewasahau wakubwa
Nimefarijika kusikia bajeti ikisomwa na waziri wa Wizara ya Fedha anayesifika kwa misimamo ya uzalendo. Ni bajeti ya kwanza kabisa ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoakisi utendaji kazi wa awamu ya tano kwa kaulimbiu ya ‘hapa kazi tu’ ya…
Ni hofu au demokrasia?
“Demokrasia si sawa na chupa ya soda aina ya Coca- Cola ambayo unaweza kuagiza kutoka nchi za ng’ambo. Demokrasia inapaswa kujiongoza na kujiendesha kwa mujibu wa mazingira ya nchi husika.” Maneno haya yalizungumzwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwezi Juni,…
Hata kwao Mohammed Ali wapo wachawi
Mwanamichezo na mwanamasumbwi mashuhuri Mohammed Ali ameugua kwa muda mrefu na kufariki hivi karibuni na tayari wanatafutwa wachawi wake. Si uchawi ule tuliozowea kuusikia Waafrika lakini ni uchawi unaokuzwa na kushamiri kwa sababu binadamu wote asili yao moja na hata…
Pumzika kwa amani Keshi, Afrika yote itakukumbuka
W iki iliyopita, familia ya mpira wa miguu katika Bara la Afrika ilipata msiba mzito kwa kumpoteza nguli wa soka wa Nigeria, Stephen Keshi, ambaye ana historia ndefu nchini humo. Keshi alikuwa mchezaji katika miaka ya 1990 pamoja na Kocha…
JWTZ kazini
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeingia kazini rasmi na kuahidi kushughulika na vitendo vyovyote vya kikatili vinavyoendelea hapa nchini, hasa mauaji yaliyotokea Mwanza na Tanga hivi karibuni. JWTZ wameamua kuimarisha ulinzi nchini kote kutokana na matukio ya mauaji hayo,…
Barua ya elimu kwa Rais Magufuli – 2
Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii ndugu Kalisti Mjuni, alizungumzia umuhimu na mbinu bora za kuandaa walimu. Katika sehemu ya pili, leo Mjuni anazungumzia mahitaji ya msingi kwa utoaji wa elimu bora. Endelea… Mazingira bora. Ili kazi yoyote iweze kufanyika…