Latest Posts
RAIS MAGUFULI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WAO WASIJIHUSISHE NA MIGOGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi na waumini wa madhehebu ya dini nchini kujiepusha na migogoro ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi hizo muhimu katika jamii. Mhe. Rais Magufuli ametoa…
RC WANGABO AAGIZA WAKAMATWE WOTE WALIOCHOMA NA KULIMA MSITU WA MALANGALI
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu akiwasilisha taarifa ya msitu wa Malangali uliopo Sumbawanga Mjini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa agizo la kukamatwa kwa waliokiuka amri ya…
SIMBA YASEMA , RUVU WANAKULA NYINGI
KOCHA wa Simba, Pierre Lecha-ntre ametamka kwamba hakuna chochote wanachokitaka leo kwa Ruvu Shooting zaidi ya pointi tatu. Kocha huyo mfaransa mwenye wasaidizi wawili amesisitiza kuwa kikosi chake kiko sawa wala hana mchecheto wowote ingawa rekodi za ushindi zinamzidishia jeuri….
MCHANGO WA TSH 5000 WAMTIA MATATIZO MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI
RC Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kumchukulia hatua Mkuu wa Shule ya Sekondari Muhama kwa kuwatoza wanafunzi michango ya TZS 5,000 kama gharama ya kuwapatiwa fomu za maelezo ya kujiunga na shule hiyo. Hatua…
RC Wangabo Awabaini Wakwepa Kodi Atoa Siku 7 Wajirekebishe Kabla ya Msako
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim wangabo amesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara kutumia mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa kodi serikalini jambo linalorudisha nyuma maendeleo, hivyo kutoa siku saba za kujirekebisha kabla ya Mamlaka ya mapato kuanza msako mkali na…
ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto…