Latest Posts
Kashfa ya nyumba NIC
Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeingia katika kashfa ya kuhujumu mali za shirika hilo, ikiwamo ya kuuza nyumba bila kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Serikali Oktoba, 2009. Nyumba zilizopangishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo zilizoko eneo la Kijitonyama jijini Dar…
Uhamiaji Dar ni aibu
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam inatuhumiwa kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni zinazosimamia idara hiyo, huku Kamishna wa Idara hiyo, Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, akibebeshwa mzigo. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umethibitisha pasi na…
Tusiibeze bajeti, tusiishangilie
Juni 9, mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliwasilisha bajeti ya Serikali bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti hii imeficha siri nzito yenye mwelekeo wa kuliondoa Taifa letu katika aibu ya kuwa ombaomba. Ni kweli,…
Bajeti irekebishwe
Wiki iliyopita, Serikali imewasilisha bajeti yake bungeni. Bajeti hii imetangaza maeneo mengi ya kuboresha uchumi wa nchi hii. Imetangaza uwekezaji mkubwa katika reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara za kisasa, ununuzi wa meli, kuweka mazingira bora ya uwekezaji, upimaji…
Tunaposubiri machafuko ili tunyooshe mambo
Mwaka 1953 nilikuwa mwanafunzi wa darasa la kumi, miaka hii ni kidato cha nne, nilikuwa nasoma Shule ya Sekondari ya Chidya, wilayani Masasi, Kusini Tanzania (Tanganyika enzi hizo). Shule ya Chidya ilikuwa shule ya kwanza ya sekondari Kusini Tanganyika. Ilianzishwa…
VAT itaua utalii nchini
Serikali imetakiwa kutazama upya mpango wake wa kukopa ndani na nje ya nchi pamoja na kutafakari upya suala la kuanzisha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika sekta ya utalii. Bajeti iliyowasilishwa bungeni, Dodoma na Waziri wa Fedha na Uchumi,…