JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni

NAIBU Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018….

MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA APOTEA KIMIUJIZA, MKOANI KAGERA

Kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha. Imeelezwa alipotea februari 2, 2018 alipokuwa akitokea Bukoba Mjini kwenda nyumbani kwake Kijiji cha Buhangaza ikidaiwa ametekwa. Kaimu Kamanda wa Polisi…

CHADEMA YATANGAZA KUSITISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA WABUNGE

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa kampeni zauchaguzi wa Wabunge wa  chama hicho zinazoendelea, ili kushiriki maziko ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Mzee Kingunge alifariki juzi kwenye Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa majeraha ya kung’atwa na mbwa…

MOROCCO BINGWA KOMBE LA CHAN 2018, WAITANDIKA NIGERIA BAKORA 4-0

Michuano ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa Ligi za Ndani ( CHAN) imehitimishwa Jumapili kwa ushindi wa wenyeji Morocco waliofanikiwa kulinyanyua taji la michuano hiyo kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nigeria. Mchezaji wa Morocco Zakaria Hadraf alifanikiwa…

Ratiba ya Mazishi ya Mzee Kingunge Hii Hapa

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake. RATIBA  ya mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru, iliyotolewa na familia yake jana inaonyesha atazikwa leo Jumatatu katika shughuli itakayoanza saa 9:30 hadi 11:30 katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar…