JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MTANGAZAJI WA UHURU FM, LIMONGA JUSTINE LIMONGA AFARIKI DUNIA

Tanzia: Mtangazaji wa kipindi cha Michezo cha Uhuru FM Justin Limonga amefariki Dunia Leo asubuhi katika hospital ya TMJ alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. R.I.P Mpendwa wetu Limonga

MBUNGE WA KIBAMBA, JOHN MNYIKA AWASHUKURU AKINA MAMA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Mh John Mnyika kupitia kwenye ukurasa wake Twitter amewashukuru wakina mama wa jimbo la Kibamba kupitia kikundi chao cha VIMA kwa kumualika kushiriki shughuli ya kufunga mwaka ya kikundi hicho. Mnyika amesema kuwa wataendelea kuwa…

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA, DKT. MNDOLWA AZINDUA KAMPENZI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUDA, KOROGWE

 Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi  gari yaa…

AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA MAWAZIRI WANAISHI DAR ES SALAAM

Disemba 12 mwaka huu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliandika barua kwenda kwa Mawaziri, Manaibu Waziri, Wakurugenzi na watumishi wengine wa serikali ambao hawakai kwenye vituo vyao vya kazi kwa mujibu wa sheria, hatua za kisheria zitachukuliwa…

AJALI: WATU 34 WAUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KENYA

Habari kutoka Kenya zasema kuwa watu 34 wamefariki katika ajali nyingine mbaya ya barabani, iliyotokea mapema Jumapili asubuhi. Watu 16 wamejeruhiwa wengi wao wakiwa katika hali mahututi, baada ya Basi moja la abiria kugongana ana kwa ana na lori la…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 31, 2017

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Disemba, 31, 2017 nimekuekea hapa