Latest Posts
WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA UTAFITI WA MAPATO,MATUMIZI KWA KILA KAYA GEITA
Mkuu wa mkoa Geita ,mhandisi Robert Luhumbi kushoto akiwa na Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Douglas Masanja akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafisi Tanzania Bara wa mwaka 2017/18. Katibu…
Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne Februari 6, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Februari,6, 2018 nimekuekea hapa BOFYA HAPA KUSOMA GAZETI LOTE LA JAMHURI LA WIKI HII TAREHE 06- 12/FEBRUAR 2018
MANGE KIMAMBI AMCHEFUA SHEKHE MKUU WA DAR ES SALAAM, SASA KUKIONA CHA MOTO
SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea matusi mazito baada ya kumuona mtandaoni amepiga picha na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi…
Dada wa Mowzey Radio Akamatwa na Polisi Uganda
Polisi nchini Uganda wamemkamata mtuhumiwa anayehusishwa na mauaji ya mwanamuziki maarufu Mowzey Radio, aliyefariki kutokana majeraha aliyoyapata baada ya mzozo uliotokea kwenye kilabu moja ya usiku ” De Bar”, iliyopo katika mji wa Entebbe. Wakati wa mazishi yake, mama…
VITUO VIWILI VYA TELEVISHENI YAREJEA HEWANI KENYA
Matangazo ya vituo viwili vya televesheni Kenya, KTN na NTV yamerejea hewani baada ya kufungiwa siku 7 na serikali. Lakini bado haviwezi kutazamwa na Wakenya wengi ambao hawana king’amuzi. Kupitia mtandao wao wa Twitter, NTV wamesema wamerudi hewani kwenye ving’amuzi…