JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

HIVI NDIVYO RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2018 MSOGA

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt….

JPM ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA KENYATTA

Rais Dkt Magufuli  amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali kati ya basi la abiria na lori la mizigo, iliyopelekea vifo vya watu takribani 36 na wengine kujeruhiwa iliyotokea jana asubuhi.

SINGIDA KASKAZINI KUMEKUCHA, CCM WAPIGA FILIMBI YA KUTAFUTA KURA KWA WANANCHI

Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Singida kaskazini wakiwa kwenye viwanja vya mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Mtinko,singida vijijini juzi. Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 1, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Januari,01, 2018 nimekuekea hapa HAPPY NEW YEAR

FULL TIME: WEST BROMWICH ALBION VS ARSENAL MATOKEO 1-1

Dakika ya 4: Mchezo umeanza kwa kasi kiasi. Dakika ya 7:  west bromwich wanakosa goli, Jay Rodriguez anaunganisha kwa kichwa lakini kipa wa arsenal anadaka Dakika ya 9: Mpira wa kurusha kuelekea upande wa west bromwich. Dakika ya 12: West…

YANGA YAFUNGA MWAKA KWA KIPIGO CHA 2-0 KUTOKA KWA MBAO FC

Yanga leo imefunga mwaka vibaya kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Mbao fc ya mwanza, mabao yote ya mbao yamefungwa na Habib Aji kwenye dakika ka 52 na 70. kutokana na mchezo huo sasa unaiondoa yanga kwenye orodha…