JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Demokrasia inaongozwa na sheria tulizojiwekea kikatiba

Wiki jana, niliandika juu ya nafasi ya kufanya mikutano ya kidemokrasia iliyopigwa marufuku muda wa kazi, niliandika kutokana na kumbukumbu mbalimbali za ujana wetu miaka ile dahari ya mfumo wa chama kimoja, ambapo tulikuwa na hiyari ya kuchagua jembe au…

Anayempenda baba tumfanye mama

Lugha yetu ya Kiswahili haina uchache wa maneno katika matumizi ya kila siku kiasi cha kumfanya mtumiaji wa lugha hii kupata shida na kuchanganya maneno mawili au zaidi kukusudia kuelezea jambo moja; na kuleta mgongano wa mawazo kwa msikilizaji au…

Kijijini sema baba yako mjinga uone cha moto

Demokrasia ni dhana nzuri sana pale ambako wote tunakubaliana juu ya maana na mipaka yake. Tatizo ni kuwa si wakati wote huwa tunaafikiana juu ya maana na mipaka yake. Nguzo moja ya kulinda na kujenga demokrasia ni uhuru wa raia…

Timu za zamani zirejeshwe?

Walau sasa sura ya utaifa katika Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kuonekana, kutokana na kila kanda kuwakilisha timu zao kutoka kwenye mikoa husika. Katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni minane tu yenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu, mingi ikiwa na…

Wingu zito

Watanzania wanaotegemea usafiri wa meli katika maziwa ya Victoria, Nyasa na Kigoma wako njia panda baada ya meli karibu zote zilizokuwa zinafanya kazi kuharibika.  Ukiacha meli kuharibika, wafanyakazi wa Kampuni ya  Marine Services Co. LTD (MSCL), inayoendesha huduma za usafiri…

Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha

Mwaka huu, Tanzania inaye Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli. Rais Magufuli, ameonyesha nia ya dhati ya kupambana na vitendo vya rushwa nchini, na hasa baada ya kuanzisha rasmi mchakato wa Mahakama ya Mafisadi kwa kuitengea bajeti…