Latest Posts
MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na askari polisi wamejitokeza kuuaga mwili wa mke wa Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola, Bi Marry Lugola Jijini Dar es salaam. Bi Marry Lugola ambaye…
2018 UTUMIKE KUJADILI MASUALA
LEO ni siku ya nne ya mwaka mpya wa 2018. Ni wakati wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia afya, uhai, nguvu, akili na ubunifu, miongoni mwa vingineĀ vinavyochangia kuharakisha maendeleo na ustawi wa watu. Watanzania wameungana na watu wa mataifa…
Azam FC Yaendeleza Kichapo, Yaifunga Jamhuri 4-0
Azam imezidi kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wao baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Jamhuri Kikosi cha Azam FC, kimezidi kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea hapa Zanzibar baada ya kuibuka na…
ARSENAL, CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA
Mchezo mmoja wa ligi kuu Uingereza uliopigwa jana usiku uliwakutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja London, Arsenal na Chelsea zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2. katika mchezo Chelsea ilipaswa kupata pointi zote tatu katika mechi hiyo kwani…
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 4, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,04, 2018 nimekuekea hapa