JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 5, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,05, 2018 nimekuekea hapa

Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake…

BOT: BENKI ZILIZOFUNGIWA ZITAKUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank. Gavana wa…

WAZIRI JAFFO AAGIZA UJENZI WA BARABARA INAYOELEKEA HOSPITALI YA BUGURUNI KUJENGWA

Ilala kuanza ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa mnyamani ndani ya wiki moja kuanzia leo ili kuondoa kero kwa wananchi wa eneo hilo.  Waziri Jaffo ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi katika barabara hiyo inayoelekea katika hospitali ya Buguruni…

SIMON MSUVA ATUA BONGO KWA MAPUMZIKO AKITOKEA MORROCO

MSHAMBULIAJI  wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amewasili leo asubuhi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. Akitokea Morocco kwa ajili ya mapumziko…

VIDEO QUEEN KIDOA APORWA GARI NA BWANA WAKE

Muuza sura ashuhuri Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali baada ya kushindwana tabia. Taarifa kutoka kwa chanzo kilicho karibu na mrembo huyo zimeeleza kuwa, Video queen huyo  licha…