Latest Posts
CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, DIWANI WAKE AJIUNGA CCM
Diwani wa Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM. Masuja amejiunga na CCM jana Februari 12,2018 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti. Katika mkutano wa hadhara, Mnyeti aliwataka…
GOFU LUGALO YATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MAJESHI YASHINDA NIGERIA
Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia…
SERIKALI IMESEMA ITAENDELEA KUIMARISHA MFUMO WAKE WA UTOAJI DAWA
div dir=”ltr” style=”text-align: left;” trbidi=”on”> Na Mwandishiwetu Serikali imesisitiza kwamba itaendelea kuimarisha mifumo yake ya utoaji huduma za dawa kutokana na ukweli kwamba baadhi ya dawa zinatumika kwa wanyama na binadamu na kuleta usugu wa ugonjwa husika kwa mgonjwa na…
NEC: Maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Marudio Yanakwenda Vizuri
Zikiwa zimebaki siku 6 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge Siha na Kinondoni na kata nane kufanyika, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema maandalizi yanaendelea vizuri. NEC imesema maandalizi hayo ni pamoja na ufumbuzi wa changamoto ndogondogo zinazojitokeza. Mkurugenzi…
MWAKYEMBE: KWA SIMBA HII, SASA TANZANIA TUNAELEKEA KUWA KICHWA CHA MUUNGWANA, NA SI CHA MWENDAWAZIMU
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ameeleza kufurahishwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa kati ya Simba SC na Gendarmerie ya nchini D’jbout ambapo Simba iliibuka kidedea kwa kuichapa timu hiyo mabao 4…